VITAMBAA 300,000 VYA SODO VIMENASWA KATIKA ENEO LA WETEITHIE.

Spread the love
Polisi katika eneo la Witeithie wamenasa vitambaa vya sodo 300,000 ambavyo muda wake wa kutumika ulikuwa umeisha mwezi juni mwaka uliopita. Vitambaa hivi vilikuwa vya wizara ya elimu humu nchini na vilikuwa vinapakiwa upya kwa karatasi za Magatuzi ya Murang’a,Kiambu, Kilifi na Mombasa. Polisi hata hivyo wanamsaka mwenye shehena hii na kuendeleza uchunguzi zaidi.

Share News With Tv47 Do you have a groundbreaking story you would like us to publish? Please reach us through news@tv47.co.ke or WhatsApp: +254 7111 74 230. Contact Tv47.co.ke Now
Show More

Related Articles

Back to top button
Close
WhatsApp chat