Tuesday, December 7, 2021
spot_imgspot_img
Advertisment
HomeTV47NewWasanii wanaosherehekea ndoa zao, Mwalimu Rachel awajibu Sailors | TETESI ZA SANAA

Wasanii wanaosherehekea ndoa zao, Mwalimu Rachel awajibu Sailors | TETESI ZA SANAA

Bahati na Diana

Wanapoadhimisha miaka mitano ya ndoa yao, msanii Kelvin Bahati almaarufu ‘mtoto wa mama’ anatamba mitandaoni  kufuatia zawadi tano ambazo alizitoa kwa mpenzi wake Diana Marua siku ya Jumanne. Bahati ambaye alikuwa msanii wa nyimbo za injili lakini siku za hivi karibuni haeleweki, alimpatia Diana zawadi tano, huku ya tano ikiwa ya gari aina ya Mercedes Benz ML 350 amg, ambalo kwake ikiwa zawadi ya dhamani ya juu zaidi. Wapenzi hawa wawili wamebarikiwa  na watoto wawili  heaven and majesty .

Dj Moh na Size 8

Wapenzi wengine ambao mwezi huu wamesheherekea ndoa zao ni ikiwemo the “Morayas family” inayojumuisha Dj Mo na mwanamuziki Size 8. Siku chache zilizopita walisherehekea miaka 7 kwenye ndoa yao katika kaunti ya Mombasa licha ya sintofahamu iliyoibuka kuwa Dj Mo anatoka kimapenzi na msichana fulani aliyetajwa na blogger kwa jina Edgar Obare

Chris Kirwa na Cate Kirwa

Wanandoa wengine ambao wanasherehekea miaka yao kwenye ndoa ni ikiwemo Chris Kirwa  na Cate Kirwa ambao wanaadhimisha  miaka 7 kwenye mapenzi yao,

Mwalimu Rachael awajibu Sailors

Siku chache tu baada ya kikundi cha Sailors kujiondoa chini ya usimamizi wa meneja Mwalimu Rachael, sasa mwalimu amejibu mengi ambayo yalikuwa yamesemwa na sababu haswa za yeye kutaka shilingi milioni 1.5 ili kuwapea passwords za akaunti ya YouTube pamoja na zile za mitandao ya kijamii kama vile page ya instagram. kupitia barua aliyoichapisha, mwalimu rachael alisema;

“I’m not trying to “hold on” as many would argue. I am simply doing what’s best for my company (mrxmedia ltd) and the investment we put into them. You don’t simply hand over log in’s and other sensitive material simply because your artist has “moved on”. Equity, ownership and return on investment.”

“as a business, that has no binding contract or agreement with a third party, would it really make sense to just hand over log ins? The simple answer is – no,”

Sailors kwa sasa wamedondosha kibao chao kipya kinachokwenda kwa jina ya “kulewa kuchuchuma” na waliweza kukiweka kwa akaunti yao mpya chini ya usimamizi wa lebo ya Black Markets Records.

Sailors mwaka wa 2019 ndio mwaka haswa waliposainiwa chini ya lebo ya MRX Media ltd inayomilikiwa naye Mwalimu Rachael na walitamba kwa vibao kama vile “ wamnyonyez- wamlambez” “ pekejeng “  na vibao vinginevyo, isitoshe inadaiwa kupitia mrx media ltd walijipatia donge nono kupita shows


close


TV47 is on Gotv, DStv, SIGNET, BAMBA and STARTIMES.

Sign up to receive our monthly newsletter.

We don’t spam! Read our privacy policy for more info.

spot_img
RELATED ARTICLES
Advertisment
- Advertisment -

Most Popular

Top Stories

- Advertisement -spot_img

Business