Sunday, September 19, 2021
spot_img
Advertisment
HomeTV47Maafisa wa polisi washutumiwa kwa uharibifu wa mali

Maafisa wa polisi washutumiwa kwa uharibifu wa mali

Muungano wa mikahawa, vilabu na sehemu za burudani nchini umewashutumu maafisa wa usalama kwa uharibifu wa mali, na kuwafurusha wateja na wamiliki wa mabaa kabla ya masaa ya kafyu wanapotekeleza masharti ya Korona.

spot_img
Hebrews Ronohttps://tv47.co.ke
Digital Content Creator, Editor
RELATED ARTICLES
Advertisment
- Advertisment -

Most Popular

Top Stories