Thursday, September 16, 2021
spot_img
Advertisment
HomeTV47Upeo Wa Tv47Mwili wa Justus Murunga Wasafirishwa Hadi Nairobi

Mwili wa Justus Murunga Wasafirishwa Hadi Nairobi

BURIANI JUSTUS MURUNGA Mwili wa mbunge wa Matungu Justus Murunga umeletwa hapa jijini Nairobi kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha Lee. Mwili wa marehemu umesafirishwa kutoka Mumias kufuatia ombi la tume ya wafanyikazi wa bunge (PSC) inayoandaa mazishi yake kutoa ombi hilo.

spot_img
RELATED ARTICLES
Advertisment
- Advertisment -

Most Popular

Top Stories