Monday, September 27, 2021
spot_img
Advertisment
HomeTV47Upeo Wa Tv47Ufisadi Katika Wizara ya Elimu Yatibuliwa

Ufisadi Katika Wizara ya Elimu Yatibuliwa

UFISADI KATIKA WIZARA YA ELIMU Waziri wa elimu Prof. George Magoha amesema kuwa baadhi ya maafisa kutoka Wizara ya Elimu walikuwa wameongeza gharama ya dawati moja kwa shilingi elfu moja na mia saba. Hii ina maana kuwa iwapo mipango yao ya kupora serikali haingetibuliwa, basi madawati elfu mia mbili na hamsini pekee ndiyo yangefikishwa shuleni.

spot_img
RELATED ARTICLES
Advertisment
- Advertisment -

Most Popular

Top Stories