Author: Tony Mwirigi

Msanii Raymond Shaban Mwakyusa almaarufu Rayvanny amefungua rasmi lebo yake ya muziki inayofahamika kama ‘Next level Music’. Jambo linalowachanganya wafuasi wake ni kuwa Rayvanny yuko chini ya lebo ya Wasafi Classsic Baby (WCB) tokea mwaka 2016. Rayvanny alikuwa msanii wa pili kusainiwa na lebo hiyo ya mkali wa bongo Diamond Platinumz. Harmonize, ambaye ameasi WCB alikuwa msanii wa kwanza kuweka mkataba mwaka 2015. “It was all a dream #NextLevelMusic #NLM,” Rayvanny alisema kupitia mtandao wake wa instagram. Hatua ya Rayvanny ya kufungua NLM imeibua hisia tofauti kutoka kwa mashabiki pamoja na washikadau katika sekta ya burudani. Wengi wanakisia kuwa huu…

Read More

Tanzanian gospel artiste Rose Muhando is currently holding her concert at the Villa Rosa Kempinski. Several high-profile figures in Kenya’s gospel industry have graced the event that started slightly past 1 pm. Among those present are celebrated gospel radio presenter Evah Mwalili, radio queen Joyce Gituro, and gospel artist Betty Bayo. Kenyan Gospel singer Betty Bayo entertains fans during the Rose Muhando album launch at the Villa Rosa Kempinski on Saturday, February 27. PHOTO/ TONY MWIRIGI. Inside Rose Muhando’s album launch at the Villa Rosa Kempinski on Saturday, February 27. A ticket to the concert was selling at KSh50,000. Muhando…

Read More

Msanii wa Kenya Tanasha Dona amekanusha vikali madai kuwa alikuwa anajaribu kumpiga busu msanii Diamond Platinumz, ambaye pia ni mzazi mwenza. Wiki iliyopita Tanasha alisafiri kuelekea Tanzania kwa kile alichosema ni kumpeleka mtoto wake Naseeb Junior ili amuone babake. Video iliyosambaa mitandaoni, hata hivyo, iliibua hisia mseto kutoka kwa wadukuzi. Katika video hiyo, Tanasha alionekana kuwa na ukaribu sana na baba wa mtoto wake, licha ya kuwa waliasiana na siyo wapenzi tena. Kwa wakati flani, Tanasha na Chibu walionekana kupigana mabusu hadharani. Kisa hicho kilijiri stejini wakati lebo ya Wasafi ilikuwa Dar- es-Salam kwa sherehe za “Tumewasha Dar na Tigo”.…

Read More

Msanii Lexxy Young wa kikundi cha ‘Sailors Gang’ amejiondoa rasmi kutoka kikundi hicho na kujitosa katika muziki wa injili. Young ambaye alishirikiana na wenzake kutoa vibao vikali kama vile ‘jeso ni mwathani’, na ‘wamlambez’ alifichua ari yake mpya kupitia akaunti yake ya Instagram. “Tumekuwa pamoja have done a lot and achieved what we set l wish you all the best in your journey, me nimeamua to take on gospel industry promise sitawainamisha uko and promise to always have your backs, gospel artists here I come,” Young alisema. Maneno ya Young yamewaacha Wakenya wengi wakiwa katika hali ya ati ati wasijue…

Read More

In Summary Msanii maarufu na ‘rapper’ kutokea Kenya Khaligraph Jones ameteuliwa katika kitengo cha ‘Best Hip Hop’.Washindi wa tuzo hizi watatawazwa katika hafla inayotarajiwa kufanyika nchini Uganda tarehe 20 mwezi Februari. Wasanii wa Kenya Nadia Mukami na kundi la Matata wameteuliwa katika tuzo za mwaka huu za  ‘MTV Africa Music Awards’ (MAMA) awards. Wasanii wa Kenya Nadia Mukami na kundi la Matata wameteuliwa katika tuzo za mwaka huu za  ‘MTV Africa Music Awards’ (MAMA) awards. Wasanii hawa waliteuliwa katika kitengo cha ‘Best Fan Base’, kitengo ambacho msanii mwenye mashabiki wa ukweli (Loyal fans) hutuzwa tuzo hilo. Katika kitengo hicho, Nadia…

Read More

In Summary Wakenya wengi wamekuwa katika hali ya ati ati huku wasijue kama ni maigizo au ni ukweli Eric Omondi alikuwa anatafuta mkeEzekiel Mutua alimshutumu Omondi kwa kueneza dhana potovu katika kipindi hicho. Mcheshi Eric Omondi amefichua ukweli halisi wa kipindi chake cha “Wife material“. Omondi amesema kuwa kipindi hicho hakikuwa cha ukweli bali kila kitu kilikuwa kimepangwa. Kumbe ilikuwa ni maigizo tu! Kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye wafuasi zaidi ya milioni tatu, Eric Omondi mwenye jina la utani “President of comedy in Africa – POCA” alisema, “Wife Material was a choreographed and Scripted Entertainment show.” Wakenya wengi wamekuwa…

Read More

Siku ya Alhamisi mtoto wake mfanyabiashara na mwanamitindo Zari Hassan anayefahamika kama Rafael Junior alijitokeza na kusema kuwa yeye ni msagaji kumaanisha kuwa anachumbia mwanamume mwenzake. Kupitia mtandao wa Instagram, Rafael alisema haya akiwaacha wengi vinywa wazi. Baadhi ya mashabiki wa mtandaoni walimshambulia kijana huyo wengine wakielekea kwenye akaunti ya Zari ya Instagram, jambo ambalo halikumfurahisha. Zari alilazimika kujitokeza ili amtetee mtoto wake huku akiwashutumu kwa kile anachodai kuwa ni “tabia ya Waswahili kuingilia kila kitu, hata lisilowahusu.” “He actually has a girlfriend amechoka na  takataka kumtongoza dm …wanawake wakubwa kumtumia…..wao ..kuomba omba dollar maybe it was a good thing…

Read More
New

Shakila Amuomba Wanyama Msamaha Mwanasosholaiti Shakila amejitokeza wazi na kumuomba msamaha mwanasoka Victor Wanyama. Kupitia kwa video aliyoipost kwenye page yake ya Instagram, Shakila alikiri kuwa hajawahi kukutana na kiungo huyo wa kati na wala hajashiriki uroda naye. Shakila sasa anashikilia kuwa alikuwa mlevi chakari alipokuwa kweye ‘Instagram Live Chat’ na blogger X-tian Dela, na alisema maneno hayo kwa lengo la kutafuta kiki tu! Isitoshe, kupitia live chat hiyo Shakila alikisia kuwa alikula uroda na wasanii wengi wa humu nchini, akiwataja Willy Paul na Khaligraph Jones kama baadhi yao. Itazingatiwa kuwa mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 19 pekee alimuomba…

Read More

HARMONIZE AMPONDA DIAMOND Nyota wa muziki wa bongo fleva Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize kwa mara nyingine ameonekana kufufua bifu kati yake na C.E.O wa WCB Diamond Platinumz ambaye alikuwa boss wake kipindi alipokuwa chini ya lebo hiyo toka mwaka wa 2015. Hitmaker huyu wa “Bado”, “Kwangwaru” “Uno” na “ Jeshi” ametoa video mpya inayokwenda kwa jina “ Ushamba’ ambayo inaongoza katika trends za YouTube nchini Kenya na Tanzania. Katika kipande cha pili cha ngoma hiyo msanii Harmonize alisema “Malegend si wamerejesha vita wanahofia eti jeshi atawapita….. Hilo simba zee likila demu lazima litangaze”. Katika mistari hii, wadadisi wanakisia kuwa…

Read More

Willy Paul Anadaiwa Shilingi 180,000? Masaibu yanazidi kumkumba mwanamuziki Wilson Abubakar Radido almaarufu Willy Paul baada ya kibao chake cha ‘#collabo’ kutolewa kwenye YouTube. Mwanamuziki huyu ambaye alitamba na vibao kama vile Sitolia, Njiwa, Prakata, Kamati ya roho chafu miongoni mwa vingine alitoa kibao ‘#collabo’ ambacho kipo katika albamu yake ya ‘songs of solomon’, albamu ambayo inatarajiwa kutolewa hivi karibuni. Ila siku chache produza anayekwenda kwa jina Ilogos Music aliripoti kibao hicho kwa kile anachodai kuwa Willy Paul alikosa kumlipa shilingi 180,000 baada ya kumtengezea audio. YouTube walichukua hatua ya kutoa video hiyo mtandaoni. Pozee naye ameshakanusha madai hayo kupitia…

Read More